Unabii wa Habari za Biblia Julai-Septemba 2017

2. Kutoka kwa Mhariri:Yote Yanahusu Upendo.Wakati mambo mengi ni ya muhimu,tusikose kuangalia kwamba Biblia kwa hakika inahusu upendo.

7. Ni Nani Mtu wa Uasi? Je Huyu Ndiye Mnyama wa kwanza ama wa pili wa Ufunuo 13?

15. Amri Kumi na Mtu wa Uasi:Je Mtu wa Uasi anakiuka Amri Zote Kumi?

20. Siku Kuu ya Baragumu Je wajua zaidi kuhusu Siku Kuu?

23. Je,Mungu Anakuita? Je,unaweza kueleza?

29. Kozi ya Biblia:Somo la 12b:Thibitisho la Historia ya Biblia.Kuna Thibitisho la Historia kwamba Biblia ni ukweli.

Unabii wa Habari za Biblia Julai-Septemba 2017

Posted in Kiswahili
About CCOG
The Continuing Church of God, which attempts to represent the most faithful remnant of the Philadelphia (Revelation 3:7) portion of the Church of God, bases its beliefs on the Holy Bible. Read CCOG's statement of beliefs for more information.