Injili ya Ufalme wa Mungu

BNP Cover OCT-DEC 2014_KISWAHILI

Here is a pdf link to the Kiswahili edition of “The Gospel of the Kingdom of God” Injili ya Ufalme wa Mungu

 

Kwa nini binadamu hawezi kusuluhisha shida zake?

Je! Wajua kwamba mambo ya kwanza na ya mwisho katika Biblia

yaonyesha kwamba Yesu alihubiri kuhusu injili ya ufalme wa Mungu?

Je ! Wajua kwamba Ufalme wa Mungu ndio ulikuwa msisitizo wa

mitume na wale waliowafuata baadaye?

Je! Ufalme wa Mungu ni nafsi ya Yesu?Je, ufalme wa Mungu ni Yesu

anayeishi ndani yetu sasa hivi? Je! Ufalme wa Mungu ni aina ya

ufalme halisi ujao? Je! Utaamini mambo yanayofundishwa na Biblia?

Ufalme ni nini? Ufalme wa Mungu ni nini? Biblia inafundisha nini?

Wakristo wa Kanisa la awali walifundisha nini?

Je, unatambua kwamba mwisho hauwezi kuja kabla Ufalme wa

Mungu hujahubiriwa kwa ulimwengu kama ushuhuda?

 

Here is a pdf link to the Kiswahili edition of “The Gospel of the Kingdom of God” Injili ya Ufalme wa Mungu

 

Posted in Kiswahili
About CCOG
The Continuing Church of God, which attempts to represent the most faithful remnant of the Philadelphia (Revelation 3:7) portion of the Church of God, bases its beliefs on the Holy Bible. Read CCOG's statement of beliefs for more information.