Okt-Des 2014 UNABII WA BIBLIA: MwanaFiladelfia wa Karne ya 21 ni nani?

BNP Cover OCT-DEC 2014_KISWAHILI

Here is a pdf link to the Kiswahili edition of BNP magazine Okt-Des 2014  UNABII WA BIBLIA: MwanaFiladelfia wa Karne ya 21 ni nani?

Katika toleo hili:

3 MwanaFiladelfia wa Karne ya 21 ni nani? Je, Yesu alifundisha kwamba kungekuwepo na tofauti kubwa baina ya Wakristo wakati wa enzi za nyakati za mwisho? Baadhi ya viashiria vya MwanaFiladelfia ni vipi?
8 Kamari na Dhambi: Je, ni dhambi kwa Mkristo kucheza kamari? Ni akina nani ambao hucheza kamari zaidi?
13 Kozi ya Jifunze Biblia Somo la 4 Hili ndilo somo la nne la kozi hii, ili kuwasaidia watu wajisomee Biblia na kuielewa vema zaidi
24 Siku Iliyo Kipenzi Kwangu Ni kwanini Sabato ndiyo siku iliyo kipenzi kwa John Hickey?
25 Upatanisho na Mfungo: Ni kwanini huwa tunafunga kwenye Sikukuu ya Upatanisho? Je, kuna faida zozote za kiafya zinazotokana na kufunga?
28 Iraq katika Unabii: Iraq imekuwa ikitajwa sana katika vyombo vya habari siku za karibuni. Je, Biblia inafundisha ni kipi kitakachotokea huko?
33 Encyclopedia ya Kikatholiki juu ya Krisimasi: Wakatholiki huisherehekea sikukuu ya Krisimasi, lakini wasomi wao wanafahamu juu ya baadhi ya kweli zinazoihusu.

Jarida la Nyuma: Tovuti na Radio Hili linaonyesha ni wapi watu wanaweza kuupata ujumbe kutoka Kanisa la Continuing Church of God.

Here is a pdf link to the Kiswahili edition of BNP magazine Okt-Des 2014  UNABII WA BIBLIA: MwanaFiladelfia wa Karne ya 21 ni nani?

 

Posted in Magazines
About CCOG
The Continuing Church of God, which attempts to represent the most faithful remnant of the Philadelphia (Revelation 3:7) portion of the Church of God, bases its beliefs on the Holy Bible. Read CCOG's statement of beliefs for more information.